Mafunzo Tutoayo
Jiamini, Prisco Education Centre Inakupa Ujuzi na Weledi Sahihi Katika Kila Hatua Ya Mafanikio
Mafunzo Ya Mtandao
Imarisha Ndoto Zako Kwa Kupata Ujuzi Mtandaoni Popote Ulipo
150
100
200
Matukio Yajayo
Yatakayokupa Maarifa na Ujuzi Kwa Mafanikio Yako.
Mafunzo ya Tehama:Likizo Time
Mafunzo ya Tehama(ICT-CAC) Kwa Wanafunzi Wote wa Shule za Msingi na Sekondari Wakati wa Likizo..
Mafunzo Ya Ujasiriamali
Mafunzo ya Ujasiriamali(SDCMC) Kwa Wote Waliomaliza Elimu Ya Msingi na Sekondari..
Mafunzo ya Printing
Mafunzo ya Printing(SPBC) Kwa Wote Waliomaliza Elimu Ya Msingi na Sekondari..
Wanasemaje Wakufunzi
Hawa ni Matokeo Halisi ya Prisco Education Centre
Neema John
-Mmiliki,Kiwanda Cha Sabuni
Elimu na malezi niliyopata hapa yalinijengea nidhamu, maarifa, na ujasiri wa kuanzisha biashara yangu mwenyewe.Ninawahimiza wanafunzi wa sasa kutumia vizuri nafasi hii ya elimu.
Juma Athmasi
-Mtaalamu,Nishati ya Solar
Mafunzo niliyopata hapa yalinisaidia kujenga msingi mzuri wa elimu, nidhamu, na uwezo wa kufikiria kwa ubunifu katika kazi yangu ya teknolojia ya nishati. Ninajivunia kuwa sehemu ya kituo hiki...
Taarifa za Habari! Mpya
Soma Taarifa Kuhusu Prisco na Wajibu, Majukumu na Matokeo Yake Kwa Jamii Ya Kitanzania na Watanzania Waishio Vijijini.
Mkuu wa Wilaya Ya Kisarawe
Vijana wa Wilaya ya Kisarawe sasa kupata Mafunzo ya Tehama kwa gharama ya nusu ada tu baada ya Mkuu wa Wilaya kugharamia 50% ya Ada ya Mafunzo ya Tehama.
Ubunifu Mpya Wagunduliwa
Kituo cha Elimu cha Freedom nchini Tanzania kimeendelea kuonyesha maendeleo ya kielimu baada ya wanafunzi wake kufanya ugunduzi wa ubunifu katika masomo ya sayansi na teknolojia..
Matokeo ya Yaleta Furaha
Uongozi wa kituo umepongeza walimu na wanafunzi kwa juhudi, nidhamu, na ushirikiano uliochangia mafanikio hayo.

